Tovuti bora, wasaidizi wa AI na mifumo kwa taasisi zinazokua. Angalia huduma →
Masharti ya Huduma

Masharti ya Huduma

Maelezo rahisi kuhusu tovuti hii na jinsi maombi ya miradi yanavyoshughulikiwa.

Imesasishwa: 29 Julai 2026

Bei na scope

Bei zilizochapishwa ni sehemu ya kuanzia. Scope, gharama, muda, malipo na deliverables huthibitishwa kwenye proposal.

Muda wa utekelezaji

Muda unaonyeshwa kama makadirio na unaweza kuathiriwa na maudhui, idhini, integrations na mabadiliko ya scope.

Majukumu ya mteja

Mteja hutoa taarifa sahihi, maudhui, feedback, approvals na access zinazohitajika kwa wakati.

Huduma za nje

Hosting, domain, WhatsApp, payment providers na huduma nyingine zinaweza kuwa na masharti na gharama zao.

Hakuna dhamana ya matokeo

VutaLead haitoi dhamana ya mapato, ranking ya Google, ukuaji au akiba maalum.

Mawasiliano

Maswali kuhusu masharti haya yanaweza kutumwa info@vutalead.com.