CRM
Hupanga leads, wateja, ufuatiliaji na ripoti ili mauzo yawe rahisi kusimamia.
- Mtiririko wa leads
- Wasifu wa wateja
- Vikumbusho
- Ripoti
- Ruhusa kulingana na nafasi
Wigo wa mwisho hutegemea mahitaji.
Tazama maelezoPanga wateja, stock, staff, operations na ripoti kupitia mifumo maalum yenye ruhusa.
Kila option inaonyesha setup, ada ya mwezi, muda na kilichojumuishwa.
Hupanga leads, wateja, ufuatiliaji na ripoti ili mauzo yawe rahisi kusimamia.
Wigo wa mwisho hutegemea mahitaji.
Tazama maelezoHuunganisha uendeshaji, utawala, stock, idhini na ripoti kwenye mfumo mmoja.
Wigo wa mwisho hutegemea mahitaji.
Tazama maelezoHufuatilia bidhaa, marekebisho ya stock, wauzaji, reorder na historia ya movement.
Wigo wa mwisho hutegemea mahitaji.
Tazama maelezoHusaidia mauzo ya kila siku, risiti, bei, ripoti za kufunga siku na stock.
Wigo wa mwisho hutegemea mahitaji.
Tazama maelezoHuunganisha matangazo ya kazi, waombaji, usaili, notes na ripoti za ajira.
Wigo wa mwisho hutegemea mahitaji.
Tazama maelezoHupanga upokeaji na ufuatiliaji wa mizigo, mawasiliano ya wateja, invoice, kazi za staff na ripoti za matawi.
Wigo wa mwisho hutegemea mahitaji.
Tazama maelezoHuunganisha taarifa za wanafunzi, madarasa, ada, mahudhurio, mawasiliano na rekodi za masomo.
Wigo wa mwisho hutegemea mahitaji.
Tazama maelezoHupanga rekodi za wagonjwa, miadi, billing, stock ya msingi ya pharmacy na ripoti za kliniki.
Wigo wa mwisho hutegemea mahitaji.
Tazama maelezoBei ni sehemu ya kuanzia. Bei ya mwisho inaweza kubadilika kulingana na scope, integrations, maudhui na features maalum.
Tuambie unachotaka kuboresha. Tutakusaidia kuchagua tovuti, AI, otomatiki au mfumo unaofaa.